Blog
News & Company Updates
MAHOJIANO: KUNI MBADALA SULUHISHO LA UKATAJI MITI OVYO
https://youtu.be/miCynQOMqf0 Tazama mahojiano yetu ya hivi punde kwenye MatukioliveTV
Mkakati wa Serikali kupunguza madhara ya kupikia kuni, mkaa
Mara ngapi umewahi kujiuliza madhara yaliyomo kwenye moshi unaotokana na kupikia nishati ya kuni na mkaa kwa afya yako? Wataalamu wanasema kupikia nishati ya kuni kwa saa moja ni sawa na mtu aliyevuta sigara 300. SOMA ZAIDI KUPITIA MWANANCHI
Maoni: Mazungumzo ya tabianchi, Afrika iko peke yake
Mataifa ya Kaskazini mwa dunia yameondoka mkutano wa mabadiliko ya tabianchi bila makubaliano ya maana kwa Afrika. Ni ukumbusho wa kusikitisha kwamba bara hilo liko peke yake katika suala la mabadiliko ya tabianchi. SOMA ZAIDI KUPITIA DW
Mkataba wa kuanzishwa mfuko wa fedha kushughulikia athari za mabadiliko ya tabianchi COP27
Katika mkutano wa kimataifa wa mazingira COP27, nchini Misri, mataifa karibu mia mbili yaliafikia makubaliano ya kuanzishwa kwa mfuko wa fedha wa kushughulikia hasara na uharibifu, fedha hizi zikitarajiwa kuzisaidia nchi masikini na zilizo katika hatari ya kuathirika...